Tiba Ya Figo, Kazi ya figo ni kuchuja damu, kuondoa taka mwili, kudhibiti uwiano wa madini na maji mwilini.